TONNY NGALA

JAMII YA MIJIKENDA YAANZA MIKAKATI YA KUFUNZA VIJANA TAMADUNI HIYO.

Huenda visa vya mauaji ya wazee kwa tuhma ya uchawi huko Garashi eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi vikapungua kwa kiwango kikubwa, baada ya kuzinduliwa kwa kituo cha kitamaduni, kitakachotoa mafunzo ya mila na desturi za kimijikenda. Mwanzilishi wa kituo hicho Alex Katana, amefichua kuwa baadhi ya vijana wa kizazi cha sasa, wamekuwa wakitekeleza […]

JAMII YA MIJIKENDA YAANZA MIKAKATI YA KUFUNZA VIJANA TAMADUNI HIYO. Read More »

SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUKARABATI BARABARA ENEO LA GAMBA KAUNTI YA TANA RIVER.

Wizara ya uchukuzi nchini imetakiwa kukarabati barabara katika eneo la Gamba kaunti ya Tana River, msimu huu ambapo kuna shuhudiwa kiangazi eneo hilo. Kwa mujibu wa meneja wa bandari ya Lamu, mhandisi Vincent Sidai, ujenzi wa barabara hiyo unaweza kufanikishwa kwa urahisi, msimu huu wa kiangazi, kabla ya mvua kuanza kushuhudiwa. Sidai ameelezea wasiwasi wa

SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUKARABATI BARABARA ENEO LA GAMBA KAUNTI YA TANA RIVER. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AENDELEZA AHADI ZAKE KWA WAKAAZI WA PWANI.

Rais William Ruto wamehakikishia wakaazi wa Pwani kuwa watashuhudia miradi mingi ya maendeleo itakayo endelezwa na serikali yake. Akizungumza katika eneo la Likoni kaunti ya Mombasa, kwenye ziara yake hapa Pwani, Ruto amesema kuwa kwa mda mrefu, kaunti za Ukanda huu zimeendelea kusalia nyuma kimaendeleo, kwani zimekuwa zikitengwa na serikali kuu. Akihutubia umma, amewataka wakaazi

RAIS WILLIAM RUTO AENDELEZA AHADI ZAKE KWA WAKAAZI WA PWANI. Read More »