WANANCHI ENEO LA GARSENI KAUNTI YA TANA RIVER WANUFAIKA NA MPANGO WA HUDUMA MASHINANI.
Jumla ya wananchi 300 katika eneo la Mnazini eneo bunge la Garseni kaunti ya Tana River, wamenufaika na mpango wa huduma mashinani unaoendelezwa na maafisa wa kituo cha Huduma Center kaunti hiyo. Afisa mkuu wa kituo hicho eneo la Hola kaunti hiyo Jackson letangule amesema kuwa wananchi hao wamenufaika na huduma kama vile usajili wa […]
WANANCHI ENEO LA GARSENI KAUNTI YA TANA RIVER WANUFAIKA NA MPANGO WA HUDUMA MASHINANI. Read More »



