TONNY NGALA

WAMILIKI WA MADUKA YA DAWA WAONYWA DHIDI YA KUUZA DAWA KINYUME CHA SHERIA ZA AFYA.

Mamlaka ya kukabiliana na utumizi wa pombe na mihadarati nchini Kenya NACADA, imethibitisha kuwa baadhi ya wakenya hutumia dawa zinazouzwa kwenye maduka ya dawa, kinyume cha muongozo wa madaktari. Kulingana na naibu mkurugenzi wa NACADA Ann Mathu, watu wengi hutumia dawa hizo kama mihadarati, jambo ambalo ni kinyume na matumizi yaliyo ratibiwa na wizara ya […]

WAMILIKI WA MADUKA YA DAWA WAONYWA DHIDI YA KUUZA DAWA KINYUME CHA SHERIA ZA AFYA. Read More »

RAIS RUTO WAKOSOA WAPINZANI WAKE KWA MADAI YA KUENDELEZA UKABILA.

Rais William Ruto amewasuta baadhi ya wapinzani wake wa kisiasa kwa madai ya kuendeleza mipango ya kuhakikisha kuwa, hapati uungwaji mkono kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Kwa mujibu wa rais, viongozi hao wamekuwa wakiendeleza siasa za ukabila kinyume na jinsi ambavyo, serikali ya Kenya kwanza imekuwa ikijitahidi kuunganishwa viongozi wa mirengo tofauti katika taifa

RAIS RUTO WAKOSOA WAPINZANI WAKE KWA MADAI YA KUENDELEZA UKABILA. Read More »