RAILA ODINGA AWEKA WAZI MAPUNGUFU YA SERIKALI YA KWENYE KWANZA.
Viongozi wa chama cha ODM, wanaendeleza maadhimisho ya miaka 20 tangia chama hicho kilipo anzishwa. Maadhimisho hayo ambayo yanaendelea katika kaunti ya Busia, yanatarajiwa kuweleta pamoja viongozi mbali mbali wa chama hicho na pamoja na wafuasi wao wanaotaka kufahamu uamuzi wa aliyekuwa kinara wa chama hicho Raila Odinga, baada ya kukosa kuchanguliwa kuwa mwenyekiti wa […]
RAILA ODINGA AWEKA WAZI MAPUNGUFU YA SERIKALI YA KWENYE KWANZA. Read More »



