TONNY NGALA

SENETA WA KAUNTI YA NANDI, SAMSON CHERARKEY APONGEZA USHURIKIANO WA RAILA ODINGA NA RAIS WILLIAM RUTO.

Baadhi ya wandani wa rais William Ruto kwenye bunge la seneti wamepigia upatu ndoa ya Raila Odinga na kiongozi wa taifa. Wakiongozwa seneta wa kaunti ya Nandi Samson Cherarkey, amesema kuwa hatua ya serikali ya Kenya kwanza kuwateua baadhi ya viongozi wa ODM kwenye baraza la mawaziri nchini ni ishara kuwa muungano huo utafaulu. Seneta […]

SENETA WA KAUNTI YA NANDI, SAMSON CHERARKEY APONGEZA USHURIKIANO WA RAILA ODINGA NA RAIS WILLIAM RUTO. Read More »

AFISI YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI NANCY GATHUGHU ASEMA KUNA WAFANYAKAZI HEWA KATIKA BAADHI YA KAUNTI.

Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nancy Gathungu, imefichua kuwa Kaunti nane nchini ziliajiri maelfu ya wafanyakazi bila kufuata sheria katika mwaka wa kifedha wa 2023/2024, Kulingana na ripoti hiyo, wafanyakazi hao waliajiriwa pasi na nafasi za ajira kutangazwa, kupitia vyombo vya habari wala hakuna mahojiano yaliyo fanywa ili kuwapiga msasa. Taarifa hiyo

AFISI YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI NANCY GATHUGHU ASEMA KUNA WAFANYAKAZI HEWA KATIKA BAADHI YA KAUNTI. Read More »

VIONGOZI WA KIDINI WAONYWA DHIDI YA KUTUMIKA KISIASA ILI KUPINGA SERIKALI KUU.

Naibu kinara wa walio wengi kwenye bunge la kitaifa Owen Yaa Baya amewaonya viongozi wa kidini, dhidi ya kutumika kisiasa ili kukosoa serikali ya kitaifa. Kwa mujibu wa kiongozi huyo ambaye pia ni mbunge wa Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi, licha ya viongozi wa kidini kuwa na haki ya kukosoa serikali, wanapaswa kutekeleza wajibu huo

VIONGOZI WA KIDINI WAONYWA DHIDI YA KUTUMIKA KISIASA ILI KUPINGA SERIKALI KUU. Read More »