MADAKTARI WATISHIA KUANDAMANA ILI KUPINGA UTUMIZI WA SHA.
Muungano wa madaktari nchini KMPUD, umetoa makataa ya wiki mbili kwa serikali ya kitaifa, kutatua changamoto zinazo kabili mpango wa huduma za matibabu kwa maafisa wa serikali, kupitia bima ya afya ya SHA. Wakiongozwa na katibu mkuu wa muungano huo daktari Davji Atella, amesema kuwa iwapo serikali haita tekeleza hilo, watachukua hatua ya kuandamana na […]
MADAKTARI WATISHIA KUANDAMANA ILI KUPINGA UTUMIZI WA SHA. Read More »



