TONNY NGALA

WABUNGE WA PWANI WAOMBA MMOJA WAO KUTEULIWA KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA BAJETI KWENYE BUNGE LA KITAIFA.

Viongozi wa Pwani katika bunge la kitaifa na lile la Seneti nchini, wamemtaka rais William Ruto kuteua mmoja wao, kuwa mwenyekiti wa kamati ya bajeti kwenye bunge la kitaifa. Wakiongozwa na seneta mteule Mirajj Abdullahi na mbunge wa Matuga kaunti ya Kwale, Kassim Sawa Tandaza, wametaja suala la rasilimali za Pwani, kuwa na mchango mkubwa […]

WABUNGE WA PWANI WAOMBA MMOJA WAO KUTEULIWA KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA BAJETI KWENYE BUNGE LA KITAIFA. Read More »

“SIKUSHURUTISHWA KUWANIA WADHIFA WA AUC” ASEMA RAILA ODINGA.

Ni kauli ya aliyekuwa mgombea wa AUC, Raila Odinga ameweka wazi kuwa uamuzi wa kuwania wadhifa huo ulikuwa wake binafsi na wala si pendekezo la Rais William Ruto. Kwa mujibu wa Odinga, amepinga madai ya kuwa rais William Ruto, alimshauri kuwania wadhifa huo, hii ikiwa njia mojawapo ya kumuondoa nchini Kenya. Akizungumza katika ikulu ya

“SIKUSHURUTISHWA KUWANIA WADHIFA WA AUC” ASEMA RAILA ODINGA. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO ATANGAZA KURAHISISHA SHUGHULI ZA WATALII KUINGIA KENYA KUPITIA USAFIRI WA BAHARINI.

Rais William Ruto amesema Kenya inatazamia kuidhinishaji usafiri wa Kielektroniki, wa kuingia kwa wingi kwa watalii wa meli za kifahari katika bandari ya Mombasa. Akihutubia wanahabari katika bandari hiyo, alipokaribisha wageni zaidi ya Elfu mbili, baada ya meli ya Norwey kutia Nanga kwenye bandari ya Mombasa, rais alisisitiza dhamira ya serikali kuu kutangaza nchi hii,

RAIS WILLIAM RUTO ATANGAZA KURAHISISHA SHUGHULI ZA WATALII KUINGIA KENYA KUPITIA USAFIRI WA BAHARINI. Read More »