TONNY NGALA

GACHAGWA AMUONYA RAIS WILLIAM RUTO DHIDI YA KUMHANGAISHA JAJI MKUU MARTHA KOOME.

Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagwa, ametishia kuongoza maandamano ya kitaifa iwapo jaji mkuu nchini Martha Koome, atabanduliwa kutoka kwa wadhifa huo. Akizungumza katika kaunti ya Meru, Gachagwa amemuonya rais William Ruto, dhidi ya kumhangaisha jaji mkuu nchini Martha Koome, pamoja na viongozi wengine wa eneo la Mlima Kenya. Gachagwa ambaye amekuwa akiweka jitihada zaidi […]

GACHAGWA AMUONYA RAIS WILLIAM RUTO DHIDI YA KUMHANGAISHA JAJI MKUU MARTHA KOOME. Read More »

ASKOFU ANTONY MUHERIA AKOSOA AHADI HEWA ZA SERIKALI YA KENYA KWANZA.

Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Nyeri, Anthony Muheria ameitaka serikali kukoma kutoa ahadi zisizotimia na badala yake kuzamia utendakazi katika miaka miwili iliyobakia ya utawala wake. Muheria amelalamikia suala la taasisi za afya zinazo milikiwa na kanisa Kotoliki nchini Kenya, kudai serikali ya kitaifa zaidi ya shilingi milioni mia mbili hamsini, fedha ambazo

ASKOFU ANTONY MUHERIA AKOSOA AHADI HEWA ZA SERIKALI YA KENYA KWANZA. Read More »

SERIKALI YA KITAIFA YASISITIZWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UMILIKI WA ARDHI ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI.

Baadhi ya viongozi wa kisiasa kaunti ya Kilifi, wamemtaka rais William Ruto kutatua changamoto za uskwota katika eneo bunge la Magarini na kaunti ya Kilifi kwa jumla. Wakiongozwa na spika wa bunge la seneti Amason Kingi, wamesema kuwa idadi kubwa ya wakaazi wa kaunti ya Kilifi, wameendelea kuishi kama maskwota katika ardhi zao, kutokana na

SERIKALI YA KITAIFA YASISITIZWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UMILIKI WA ARDHI ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI. Read More »