TONNY NGALA

WAKAAZI WA KAUNTI YA KILIFI WATARAJIWA KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME MASHINANI.

Kaunti ya Kilifi inatarajiwa kupata shilingi bilioni mbili za kuboresha huduma za usambazaji wa umeme, katika vijiji mbali mbali ndani ya kaunti hii. Haya ni kulingana na rais William Ruto, ambaye amesema ukosefu wa umeme wa kutosha katika eneo bunge la Magarini na kaunti ya Kilifi kwa jumla, ndiyo sababu kubwa ya ukosefu wa viwanda, […]

WAKAAZI WA KAUNTI YA KILIFI WATARAJIWA KUNUFAIKA NA MRADI WA UMEME MASHINANI. Read More »

VIONGOZI WA ODM WADAI KUWA BADO WATASALIA KUWA MRENGO WA UPINZANI KWENYE MABUNGE YOTE MAWILI.

Seneta wa kaunti ya Kilifi, Stewart Madzayo amesema kuwa chama cha Odm, kitaendelea kusalia kwenye mrengo wa upinzani katika taifa hili. Madzayo amesema kuwa chama hicho, hakita sita kukosoa serikali ya Kenya kwanza, iwapo watahisi kuwa inakiuka sheria za taifa hili katika uongozi wake. Kiongozi huyo wa wachache kwenye bunge la seneti, ameelezea kuwa jukumu

VIONGOZI WA ODM WADAI KUWA BADO WATASALIA KUWA MRENGO WA UPINZANI KWENYE MABUNGE YOTE MAWILI. Read More »