BUNGE LA SENETI LAWASUTA WANASIASA WANAOSHEREHEKEA HATUA YA RAILA ODINGA KUKOSA WADHIFA WA MWENYEKITI WA AUC.
Maseneta wameendelea kutoa hisia mseto, kuhusu sababu zilizochangia aliyekuwa mgombea wa kiti cha tume ya umoja wa Africa AUC, Raila Odinga, kupoteza katika uchaguzi huo uliofanyika jumamosi iliyopita. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi kwenye bunge hilo Arron Cheriyot na seneta wa kaunti ya Narok, Lendama Olekina, wameelezea kusikitishwa na hatua ya baadhi ya wanasiasa, kufurahishwa […]



