TONNY NGALA

SEKTA YA UTALII KAUNTI YA KILIFI YATARAJIWA KUBOREKA.

Serikali ya Italia inaendeleza juhudi za kufufua sekta ya utalii katika kaunti ya kilifi, kwa kuhakikisha kuwa watalii zaidi wanazuru kaunti hii. Akizungumza katika eneo la Gede Ruins, kwenye tamasha la kitamaduni la muziki wa kitaliano, balozi wa Italia humu nchini Roberto Natali, amesema kuwa mpango huo ni sehemu ya kujenga uhusiano bora zaidi, kati […]

SEKTA YA UTALII KAUNTI YA KILIFI YATARAJIWA KUBOREKA. Read More »

WANASIASA NCHINI KENYA WAONYWA DHIDI YA KUZINGATIA SIASA NA KUSAHAU MAENDELEO.

Naibu wa Rais Profesa Kithure Kindiki amewataka viongozi wa kisiasa mashinani, kuweka kando tofauti zao za kisiasa na badala yake, kuendeleza mazungumzo ya kuboresha maendeleo ya jamii. Kindiki ambaye alikuwa akizungumza kwenye kikao na viongozi wa kaunti ya Meru, katika makaazi yake jijini Nairobi, amewaonya wanasiasa nchini dhidi ya kuchukiana kwa misingi ya siasa, baada

WANASIASA NCHINI KENYA WAONYWA DHIDI YA KUZINGATIA SIASA NA KUSAHAU MAENDELEO. Read More »

WANAHARAKATI KAUNTI YA KWALE WALALAMIKIA ONGEZEKO LA MAGENGE YA KIUHALIFU.

Wazazi eneo la Kinango kaunti ya Kwale wametakiwa kuchunguza mienendo ya wanao mitaani, ili kuwasaidia kuepuka kujiunga na makundi ya kiuhalifu. Haya ni kwa mujibu wa mwanaharakati wa kijamii katika eneo hilo Juma Banda, ambaye amelalamikia ongezeko la idadi ya makundi ya kiuhalifu katika eneo hilo. Banda amesema kuwa hatua hiyo, imeendelea kutishia usalama wa

WANAHARAKATI KAUNTI YA KWALE WALALAMIKIA ONGEZEKO LA MAGENGE YA KIUHALIFU. Read More »