TONNY NGALA

JAMII ENEO LA RABAI KAUNTI YA KILIFI ZAKABILIWA NA BAA LA NJAA.

Idadi kubwa ya wananchi katika vijiji vya eneo bunge la Rabai hapa kaunti ya Kilifi, wameendelea kukabiliwa na changamoto kuu ya ukame. Kulingana na kamishna wa eneo bunge hilo Joseph Lenkari, wananchi hao hawajakuwa wakipokea mvua za kuwasaidia kupata mazao bora shambani kwa takriban miaka miwili sasa. Akizungumza katika eneo hilo, Lenkari amesema kuwa idadi […]

JAMII ENEO LA RABAI KAUNTI YA KILIFI ZAKABILIWA NA BAA LA NJAA. Read More »

WATALI 15 WAHUSIKA KWENYE AJALI ENEO LA NYALI KAUNTI YA MOMBASA.

Zaidi ya watalii 15 wanauguza majeraha tofauti baada ya basi walilokuwa wameabiri kuhusika kwenye ajali katika eneo la Nyali kaunti ya Mombasa. Kulingana na walioshuhudia ajali hiyo, basi hilo lililokuwa limetoka katika eneo la lights lilipoteza mwelekeo na kugonga lori sehemu ya nyuma na kisha kugonga nguzo ya umeme. Majeruhi wamefikishwa hospitalini kwa matibabu. Polisi

WATALI 15 WAHUSIKA KWENYE AJALI ENEO LA NYALI KAUNTI YA MOMBASA. Read More »