WANAHABARI KAUNTI YA TAITA TAVETA WAANDAMANA DHIDI YA WAZIRI WA AFYA KAUNTI HIYO.
Wanahabari kaunti ya Taita Taveta wamefanya maandamano ya amani kupinga matamshi ya waziri wa afya wa kaunti hiyo Gifton Mkaya, wakiyataja kuwa ya vitisho, uongo na yenye njama ya kuharibu sifa ya vyombo vya habari. Wanamshutumu waziri Mkaya, kwa kudai kuwa waandishi wa habari wamekuwa wakidai pesa, ili kuangazia sekta hiyo ya afya, ambayo imezidi […]
WANAHABARI KAUNTI YA TAITA TAVETA WAANDAMANA DHIDI YA WAZIRI WA AFYA KAUNTI HIYO. Read More »



