TONNY NGALA

MBUNGE WA MALINDI KAUNTI YA KILIFI AMINA MNYAZI AORODHESHWA KATI YA WABUNGE 50 BORA NCHINI.

Wakaazi wa Malindi kaunti ya Kilifi wamepongeza utafiti wa kampuni ya Infortack ambao umemuorodhesha mbunge wa Malindi Amina Mnyazi kati ya 50 bora katika taifa hili. Mnyazi alipata asilimia 58 ya utendakazi bora katika taifa hili, utafiti ambao ulizingatia pakubwa utumizi wa fedha za hazina ya NG-CFD katika eneo bunge hili la Malindi. Kulingana na

MBUNGE WA MALINDI KAUNTI YA KILIFI AMINA MNYAZI AORODHESHWA KATI YA WABUNGE 50 BORA NCHINI. Read More »

AFISI YA MWANASHERIA MKUU KAUNTI YA LAMU YAFUNGULIWA RASMI.

Niafueni kwa wakaazi wa kaunti ya Lamu wanaokabiliwa na changamoto za kutafuta huduma za afisi ya mkuu wa sheria nchini baada ya afisi hiyo kufunguliwa rasmi katika kaunti hiyo. Akizungumza kwenye hafla ya ufunguzi rasmi wa afisi hiyo, mwanasheria mkuu Shedrack Mose amesema kuwa wananchi wa kaunti ya Lamu sasa watapata fursa ya kufahamu masuala

AFISI YA MWANASHERIA MKUU KAUNTI YA LAMU YAFUNGULIWA RASMI. Read More »