ALIYEKUWA GAVANA WA KIAMBU FERDINAND WAITITU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 12 GEREZANI AU FAUNI YA SHILINGI MILIONI 53.5.
Mahakama milimani inayo sikiliza kesi za Ufisadi nchini imemhukumu aliyekuwa gavana wa kaunti ya Kiambu Ferdinand Waititu, kifungo cha miaka 12 gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya ulaghai kwa kutoa zabuni ya Shilingi milioni 588 kufanikisha ujenzi wa barabara mwaka wa 2018 kinyume cha sheria. Waititu alipewa chaguo la kulipa faini ya shilingi milioni […]



