TONNY NGALA

MZOZO KATI YA KAMPUNI YA CHUMVI ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI NA MAMLAKA YA MAJI NCHINI WAZUA HOFU KATI YA WANANCHI ENEO HILO.

Wito umetolewa kwa serikali kuu kuingilia kati kesi inayotishia kufungwa kwa kampuni ya chumvi katika wadi ya Gongoni eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Kulingana wananchi katika eneo hilo wakiongozwa na mwanaharakati wa kijamii Gabriel Shungu, pamoja Mwanasiasa Furaha Chengo Ngumbao, kampuni hiyo imesaidia wananchi wengi kukimu mahitaji yao na hivyo huenda jamii za […]

MZOZO KATI YA KAMPUNI YA CHUMVI ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI NA MAMLAKA YA MAJI NCHINI WAZUA HOFU KATI YA WANANCHI ENEO HILO. Read More »

EUGENE WAMALWA ASEMA HUENDA CHAMA CHA ODM KIKASAMBARATIKA.

Kiongozi wa chama cha DAP-K, Eugene Wamalwa, amesema kuwa chama chake kitaendelea kusalia upande wa upinzani, ili kuwajibisha utendakazi wa serikali ya Rais William Ruto. Wamalwa amewasuta viongozi wa chama cha ODM, kutokana na mgawanyiko ambao umeendelea kushuhudiwa ndani ya chama hicho, baada ya baadhi ya viongozi kuteuliwa kuhudumu kwenye baraza la mawaziri ndani ya

EUGENE WAMALWA ASEMA HUENDA CHAMA CHA ODM KIKASAMBARATIKA. Read More »

KALONZO MUSYOKA AKOSOA UTENDAKAZI WA SERIKALI YA KENYA KWANZA.

Kinara wa chama Wiper, Kalonzo Musyoka amezidi kuikosoa serikali ya Kenya kwanza, kwa madai kwamba imeshindwa kutekeleza ahadi ilizotoa kwa wananchi, wakati wa siasa za uchaguzi mkuu uliopita wa mwaka 2022. Akizungumza mjini Malindi kaunti ya Kilifi, wakati wa ufunguzi wa afisi za chama cha Wiper, Kalonzo ameitaja bima mpya ya afya ya SHA, kutokuwa

KALONZO MUSYOKA AKOSOA UTENDAKAZI WA SERIKALI YA KENYA KWANZA. Read More »