TONNY NGALA

WABUNGE WATAKIWA KUSAIDIA WANANCHI WAO KUPATA VYETI VYA USAFIRI WA MATAIFA YA NJE.

Viongozi wa bunge la kitaifa nchini wametakiwa kuwasaidia vijana kutafuta stakabadhi hitajika, ili kunufaika na ajira za mataifa mengine, kupitia wizara ya leba nchini. Ni wito ambao umetolewa na katibu katika wizara hiyo Shedrack Mwadime, ambaye amewapongeza wabunge, kwa kufadhili ujenzi wa miundo msingi na hata karo za wanafunzi wa vyuo vikuu na shule za […]

WABUNGE WATAKIWA KUSAIDIA WANANCHI WAO KUPATA VYETI VYA USAFIRI WA MATAIFA YA NJE. Read More »

TUME YA ARDHI NCHINI YAANZA VIKAO VYA KUSIKILIZA KESI ZA ARDHI PWANI.

Tume ya kitaifa ya ardhi NLC, imeanzisha vikao vya kusikiliza maoni ya wananchi wanao kabiliwa na mizozo ya ardhi katika kaunti ya Kwale. Hatua hiyo inalenga kutoa suluhu la dhulma za kihistoria za ardhi, ambazo zimetajwa kuwa chanzo cha mizozo mingi ya ardhi kwa wananchi wa Kwale. Mwenyekiti wa tume hio Profesa James Tuitoek, amesema

TUME YA ARDHI NCHINI YAANZA VIKAO VYA KUSIKILIZA KESI ZA ARDHI PWANI. Read More »

WANANCHI WA KAUNTI YA KISII WAMEZOMEA RAILA ODINGA.

Aliyekuwa waziri mkuu katika taifa hili Raila Odinga, alipata pigo kali baada ya wale walioaminika kuwa wafuasi sugu wa kiongozi huyo, kumzomea alipofika kutizama mpira wa kandanda katika uwanja wa Gusii kaunti ya Kisii. Wananchi wengi walionekana kutoka inje ya uwanja huo, wakati kiongozi huyo alipotaka kuhutubia umma, jambo ambalo pia lilionekana kumtamausha gavana wa

WANANCHI WA KAUNTI YA KISII WAMEZOMEA RAILA ODINGA. Read More »