TONNY NGALA

”SERIKALI IMEUZA MASHAMBA YA MAGEREZA YOTE NCHINI” ASEMA RIGATHI GACHAGWA.

Aliyekuwa naibu wa Rais Rigathi Gachagua, ameibua madai ya serikali ya Rais William Ruto kuuza ukumbi wa Bomas jijini Nairobi na mashamba ya magereza yote humu nchini. Kulingana na Gachagwa, hatua hiyo imefanikishwa baada yake kubanduliwa mamlakani, akidai kuwa kwa sasa hakuna kiongozi anayepinga matakwa ya rais Ruto, kwenye baraza la mawaziri. Gachangwa ametaja viongozi […]

”SERIKALI IMEUZA MASHAMBA YA MAGEREZA YOTE NCHINI” ASEMA RIGATHI GACHAGWA. Read More »

WAKAAZI WA KAUNTI YA MOMBASA WATAKIWA KUUNGA MKONO MUUNGANO WA RAIS WILLIAM RUTO NA RAILA ODINGA.

Waziri wa madini na uchumi wa rasilimali za bahari na maziwa nchini Ali Hassan Joho, amewataka wakaazi wa eneo la Kisauni kaunti ya Mombasa, kuunga mkono hatua ya Raila Odinga kuungana na Rais William Ruto. Kulingana na Joho, muungano huo, unatarajiwa kuleta umoja na uwiiano kati ya viongozi wa mirengo mbali mbali ya kisiasa, sawa

WAKAAZI WA KAUNTI YA MOMBASA WATAKIWA KUUNGA MKONO MUUNGANO WA RAIS WILLIAM RUTO NA RAILA ODINGA. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO ASISITIZA USAWA KWA WAKENYA WANAOTAFUTA HUDUMA ZA SERIKALI.

Rais William Ruto amewahakikishia wakenya kuwa serikali yake itatekeleza haki na usawa, katika kutoa huduma zake kwa wananchi pasi na ubaguzi. Rais ambaye amezungumza katika eneo la Eastleigh kule kaunti ya Nairobi mda mfupi uliopita, amesema kuwa sharti kila mkenya apewe huduma za serikali pasi na kuzingatia kabila lake ama tabaka. Kiongozi huyo amesema kuwa

RAIS WILLIAM RUTO ASISITIZA USAWA KWA WAKENYA WANAOTAFUTA HUDUMA ZA SERIKALI. Read More »