TONNY NGALA

VIWANGO VYA ELIMU VYA DORORA ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI.

Viwango vya elimu katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi vimeripotiwa kudoroa mno, kutokana na hali ya ukame inayoshuhudiwa eneo hilo na kusababisha maisha kuwa magumu, kutokana kuzoroteka kwa kiuchumi. Kulingana na chifu wa eneo la Marafa, Johnson Mlewa Karena, idadi ya wasomi katika eneo hilo ni kidogo mno, hali ambayo anasema imesababishwa na […]

VIWANGO VYA ELIMU VYA DORORA ENEO BUNGE LA MAGARINI KAUNTI YA KILIFI. Read More »

MABWENYENYE WALIONYAKUA ARDHI KATIKA FUO ZA BAHARI KAUNTI YA KWALE WAKABILIWA KISHERIA.

Waziri wa madini na uchumi wa bahari na maziwa nchini Hassan Joho, ametoa agizo la kuondolewa kwa mabwenyenye walionyakua ardhi za fuo za bahari kaunti ya Kwale, kwani walikiuka cha sheria za umiliki wa ardhi. Waziri Joho  amezitaka afisi za kamishna wa Kwale, wizara ya ardhi ,shirika la KWS  na ile ya mazingira  NEMA, kutumia

MABWENYENYE WALIONYAKUA ARDHI KATIKA FUO ZA BAHARI KAUNTI YA KWALE WAKABILIWA KISHERIA. Read More »

HAYAWI HAYAWI HUWA.

Rais William Ruto amepongeza hatua ya aliyekuwa mpinzani wake mkuu katika uchaguzi wa mwaka 2022 Raila Odinga, kuunga mkono utendakazi wake katika taifa hili. Kulingana na Rais, hatua hiyo itasaidia pakubwa katika kupiga vita visa vya ukabila na ubaguzi wa wakenya wa maeneo mbali mbali ya taifa hili, hasa katika masuala ya maendeleo na siasa.

HAYAWI HAYAWI HUWA. Read More »