TONNY NGALA

MKENYA ALIYE ANZISHA KITUO CHA POLISI APINGA MADAI YA KUKAMATWA NA MAAFISA WA USALAMA.

Collins Chepkulei, Mwanaume aliye anzisha kituo maafisa wa polisi kushika doria katika eneo la Cherus kaunti ya Uasin Gishu, amekanusha madai ya kukamatwa na maafisa wa polisi. Collins amewaonya waandishi wa habari, dhidi ya kueneza taarifa kuhusiana na kukamatwa kwake, jambo ambalo anasema sio la kweli. Mkenya huyo anayedai kuwa na mwenye umri wa miaka […]

MKENYA ALIYE ANZISHA KITUO CHA POLISI APINGA MADAI YA KUKAMATWA NA MAAFISA WA USALAMA. Read More »

MAAFISA WA AFYA NYANJANI KAUNTI YA KILIFI WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA MALIPO YAO.

Takriban wahudumu 4,000 wa afya ya nyanjani (CHP) kaunti ya Kilifi wanalalamikia serikali ya kaunti kucheleweshwa malipo yao, kwa takriban miezi 6 sasa. Mwenyekiti wa wahudumu hao John Charo, anasema kuwa serikali ya kaunti iliwalipa kwa kipindi cha miezi 3 pekee, licha ya kutoa ahadi ya kuwalipa maafisa hao wa nyanjani, ili kufanikisha mpango wa

MAAFISA WA AFYA NYANJANI KAUNTI YA KILIFI WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA MALIPO YAO. Read More »

MWANASIASA ALI MBOGO AIKASHIFU SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA.

Mwenyekiti wa bandari ya LAPSSET, Ali Mbogo amelalamikia uharibifu wa fedha za umma ambazo hutokana na ushuru, unaokusanywa na serikali ya kaunti ya Mombasa. Mbogo amedai kuwa kaunti ya Mombasa, hukusanya ushuru mkubwa zaidi na pia, hupokea mgao mkubwa sana kutoka kwa hazina ya kitaifa, ila hakuna maendeleo ambayo yameshuhudiwa. Akizungumza na waandishi wa habari,

MWANASIASA ALI MBOGO AIKASHIFU SERIKALI YA KAUNTI YA MOMBASA. Read More »