TONNY NGALA

AISHA JUMWA AITAKA SERIKALI YA RAILA NA RUTO KUWAHUSISHA WANAWAKE KATIKA MIKAKATI YAO.

Mwenyekiti wa bodi ya barabara nchini Aisha Jumwa, amemtaka Rais William Ruto kuwateua wanawake kwenye nafasi mbali mbali za uongozi, baada yake kuungana na aliyekuwa mpinzani wake Raila Odinga. Kulingana Aisha, kama kiongozi katika chama cha UDA, anaunga mkono kiukamilifu hatua yao kuja pamoja, ila kuna haja yao kuhakikisha kuwa wanahusisha viongozi wakike katika maamuzi […]

AISHA JUMWA AITAKA SERIKALI YA RAILA NA RUTO KUWAHUSISHA WANAWAKE KATIKA MIKAKATI YAO. Read More »

WIZARA YA ELIMU YAWEKA JITIHADA ZA KUBORESHA MIUNDO MSINGI YA ELIMU NCHINI.

Wizara ya Elimu itajenga maabara 1,600 kote nchini, ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wa gredi ya 10, wanasomea taaluma wanazo hitaji kwa mujibu wa muongozo wa mtaala wa CBC mwaka 2026. Kulingana na katibu kwenye wizara ya elimu nchini Bellio Kipsang, hatua hiyo itasaidia katika kuhakikisha kuwa, kila mwanafunzi anapata fursa ya kusomea taaluma za masuala

WIZARA YA ELIMU YAWEKA JITIHADA ZA KUBORESHA MIUNDO MSINGI YA ELIMU NCHINI. Read More »

RAILA ODINGA ASEMA ALISHIKIZWA KUUNGANA NA RAIS WILLIAM RUTO.

Aliyekuwa waziri mkuu katika taifa hili Raila Odinga, amesema kuwa sio yeye aliyeshinikiza kuungana na serikali, ila Rais William Ruto, ndiye aliyependekeza waungane. Odinga ambaye alikabiliwa na pingamizi kali, katika kaunti ya Kisii mnamo siku ya jumamosi, alipokuwa akitaka kuhutubia umma, ametetea uhusiano wake na Rais Ruto, akisema kuwa bado msimamo wake ni ule wa

RAILA ODINGA ASEMA ALISHIKIZWA KUUNGANA NA RAIS WILLIAM RUTO. Read More »