TONNY NGALA

MASHAMBULIZI YA MAGAIDI WA ALSHABAAB YAONGEZEKA KATIKA KAUNTI ZA KASKAZINI MASHIRIKI MWA TAIFA HILI.

Wanamgambo wa Alshabaa wamemuuwa afisa mkuu wa polisi wa akiba katika kaunti ya Mandera, siku moja baada ya magaidi hao kushambulia kambi ya polisi  hao kaunti ya Garissa. Afisa huyo ambaye pia ni mkuu wa usalama katika afisi ya gavana wa kaunti hiyo ya Mandera, Mohammed Adan Khalif, alikumbana na mauti yake baada ya magaidi […]

MASHAMBULIZI YA MAGAIDI WA ALSHABAAB YAONGEZEKA KATIKA KAUNTI ZA KASKAZINI MASHIRIKI MWA TAIFA HILI. Read More »

MLINZI WA MSEMAJI WA IKULU HUSSEIN MOHAMMED ADAIWA KUTEKELEZA MAUAJI.

Maafisa wa DCI wanaendeleza uchunguzi wa kifo cha mtu mmoja aliyepigwa risasi na afisa wa polisi ambaye pia ni mlinzi wa msemaji mkuu wa Ikulu ya Nairobi, Hussein Mohammed. Kulingana na baadhi ya wananchi walioshuhudia kisa hicho, wamesema kuwa tukio hilo lilichangiwa pakubwa na mzozo kati ya afisa huyo wa polisi kwa jina Mohamed Yusuf

MLINZI WA MSEMAJI WA IKULU HUSSEIN MOHAMMED ADAIWA KUTEKELEZA MAUAJI. Read More »

JAMII ENEO LA MAGARINI NA KAUNTI YA KILIFI KWA JUMLA YASISITIZWA KUTUNZA MAZINGIRA.

Wakfu wa benki ya I&M, unapania kupanda miti milioni kumi katika maeneo mbali mbali ya taifa hili, kufikia mwaka ujao wa 2026. Haya ni kwa mujibu wa afisa mkuu wa mawasiliono, katika wakufu wa benki hiyo Karanja Nzisa, ambaye amesema benki hiyo imewekeza zaidi katika utunzi wa mazingira, kupitia upanzi wa miti na kujenga uwezo

JAMII ENEO LA MAGARINI NA KAUNTI YA KILIFI KWA JUMLA YASISITIZWA KUTUNZA MAZINGIRA. Read More »