TONNY NGALA

TUME YA ARDHI YAAHIDI KUTATUA UTATA WA ARDHI YA UWANJA WA NDEGE MJINI MALINDI KAUNTI YA KILIFI.

Tume ya ardhi nchini imesema kuwa itatoa taarifa kamili kuhusiana na malipo ya fidia, kwa waathiriwa wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Malindi kaunti ya Kilifi miezi miwili kuanzia sasa. Kulingana na mwenyekiti wa tume hiyo Gershom Otachi, sharti tume hiyo ifanye uchunguzi wa uhalali wa hati miliki za ardhi hizo, ili kubaini wale […]

TUME YA ARDHI YAAHIDI KUTATUA UTATA WA ARDHI YA UWANJA WA NDEGE MJINI MALINDI KAUNTI YA KILIFI. Read More »

WIZARA YA USALAMA YAPANIA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUFANIKISHA HUDUMA ZAKE KWA UMMA.

Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amesema kuwa serikali ya kitaifa inajitahidi katika kufanikisha suala utumizi wa teknolojia, kwenye idara ya polisi nchini. Murkomen amesema kuwa utumizi wa teknolojia ya mitandao mbali mbali kwenye idara hiyo, kutarahisishia shughuli za maafisa wa usalama kuhudumia wakenya. Akizungumza katika kikao na wanadau wa idara hiyo, waziri Murkomen

WIZARA YA USALAMA YAPANIA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUFANIKISHA HUDUMA ZAKE KWA UMMA. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AANZA SAFARI YA KUMCHIMBA WAZIRI WAKE JUSTINE MUTURI.

Rais William Ruto amemkashifu hadharani waziri wa utumishi wa umma nchini Justine Muturi, kwa kuwa mlegevu katika utendakazi wake, wakati alipokuwa akihudumu katika wadhifa wa mwanasheria mkuu kwenye serikali yake. Kulingana na Ruto, Muturi alikosa kutekeleza wajibu wake katika kufanikisha ombi la kubuniwa kwa wakfu wa jamii ya waumini wa dini ya kiislamu nchini. Akizungumza

RAIS WILLIAM RUTO AANZA SAFARI YA KUMCHIMBA WAZIRI WAKE JUSTINE MUTURI. Read More »