KAMPUNI YA MAJI, MAWASCO YATAKIWA KUKABILIANA NA VISA VYA WIZI WA MAJI.
Kamati inayoangazia uwekezaji kwenye serikali za kaunti nchini katika bunge la seneti, imeelezea kuridhishwa na mikakati iliyowekwa na kampuni ya kusambaza maji eneo la Malindi, Mawasco, ili kuongeza mapato yake. Kulingana na mwenyekiti wa kamati hiyo, ambaye pia ni seneta wa kaunti ya Vihigha, Godfrey Osotsi, kampuni ya mawasco imeorodheshwa kuwa kati ya kampuni za […]
KAMPUNI YA MAJI, MAWASCO YATAKIWA KUKABILIANA NA VISA VYA WIZI WA MAJI. Read More »



