FAMILIA YA MAREHEMU MWAKILISHI WADI YA KARIOBANGI KASKAZINI KAUNTI YA NAIROBI YASUBURU UPASUAJI KUFANYIKA LEO.
Upasuaji wa maiti ya mwakilishi wadi wa Kariobangi Kaskazini, kaunti ya Nairobi, Joel Munuve, utafanyika leo katika juhudi za kutaka kubaini kiini cha kifo chake. Familia ya marehemu mwanasiasa huyo, kupitia kwa wakili Dunston Omari, ilitaka upasuaji kufanyika ili kuondoa uvumi unaozagaa kuhusiana na chanzo cha kifo chake. Idara ya DCI pia, imeingilia kati uchunguzi […]



