TONNY NGALA

WIZARA YA UCHUKUZI YATAKIWA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA VISA VYA AJALI ZA NDEGE ZA MALINDI KAUNTI YA KILIFI.

Mbunge wa Malindi kaunti ya Kilifi, Amina Mnyazi ameitaka wizara ya uchukuzi, kupitia kamati yake kwenye bunge la kitaifa, kuweka wazi mikakati iliyoko, katika kupunguza visa vya ajali za ndege kwa wanafunzi wanao somea urubani. Kulingana na Mnyazi, licha ya kuwepo kwa uchunguzi kuhusiana na chanzo cha ajili ya ndege, iliyosababisha vifo vya watu wawili […]

WIZARA YA UCHUKUZI YATAKIWA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA VISA VYA AJALI ZA NDEGE ZA MALINDI KAUNTI YA KILIFI. Read More »

WAUMINI WA KANISA LA NEW FOUNDATION WAKWEA “MTI WA UZIMA” ILI KUPATA SULUHU LA MATATIZO YAO.

Idara ya usalama katika kaunti ya Kilifi imemkata mchungaji wa kanisa la New Foundation, Abel Kahindi Gandi katika eneo la Chakama kule Magarini kaunti ya Kilifi, ambapo waumini wa kanisa hilo, wanadaiwa kupoteza maisha katika hali tatanishi, wakati wakiendelea kupokea huduma za mchungaji huyo. Naibu kamishna eneo bunge la Kilifi Kaskazini, Samuel Mutisya ambaye ameongoza

WAUMINI WA KANISA LA NEW FOUNDATION WAKWEA “MTI WA UZIMA” ILI KUPATA SULUHU LA MATATIZO YAO. Read More »

MAAFISA WA SERIKALI WADAIWA KUCHANGIA PAKUBWA KATIKA VISA VYA ULANGUZI WA BINADAMU.

Afisa wa dharura katika shirika la kutetea haki za kibinadam la MUHURI, kaunti ya Mombasa Francis Auma amepinga vikali suala la kubuniwa kwa kitengo maalum cha kukabiliana na ulanguzi wa binadamu nchini. Kulingana na Auma, kubuniwa kwa kitengo hicho ni njia mojawapo ya kuharibu fedha za umma kwani ufisadi ndiyo chanzo cha wakenya kuuzwa kuwa

MAAFISA WA SERIKALI WADAIWA KUCHANGIA PAKUBWA KATIKA VISA VYA ULANGUZI WA BINADAMU. Read More »