TONNY NGALA

SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUTATAUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI KAUNTI YA TANA RIVER.

Wito umetolewa kwa viongozi wa kitaifa kushirikiana na wale walioko katika kaunti ya Tana River ili kutatua changamoto za kiusalama eneo hilo. Wakiongozwa na gavana wa kaunti hiyo Dhadho Godana wamesema kuwa kuna haja ya serikali kutatua vita vya mara kwa mara katika kaunti hiyo. Gavana huyo amelalamikua suala la wananchi kuwawa na rasilimali zao […]

SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUTATAUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI KAUNTI YA TANA RIVER. Read More »

TAIFA LA KENYA LAJITAHIDI KATIKA KULINDA WANANCHI WAKE DHIDI YA MALARIA.

Kenya imepiga hatua kubwa zaidi katika kukabiliana na maradhi ya malaria katika maeneo tofauti ya taifa hili. Haya ni kulingana na katibu wa huduma za afya nchini daktari Mary Muthoni, ambaye amesema, kwa kutumia mfumo wa kidijitali, takriban wakenya milioni 28 katika kaunti 24 za taifa hili walinufaika na neti zilizotibiwa. Katika taarifa yake kwa

TAIFA LA KENYA LAJITAHIDI KATIKA KULINDA WANANCHI WAKE DHIDI YA MALARIA. Read More »

WAKENYA WOTE NCHINI WAAHIDIWA KUPATA MIRADI YA MAENDELEO.

Mkuu wa watumishi wa umma nchini Felix Koskei amesema kuwa serikali ya kitaifa haijatenga eneo lolote kimaendeleo katika taifa hili. Koskei amesema kuwa sharti wakenya wa maeneo yote humu nchini wanufaike na miradi ya maendeleo, ikatoyoboresha maisha mashinani. Akizungumza katika kaunti ya Marsabit, Felix amesema kuwa tayari wanakandarasi, wamerejeshwa katika maeneeo tofauti ya taifa hili,

WAKENYA WOTE NCHINI WAAHIDIWA KUPATA MIRADI YA MAENDELEO. Read More »