TONNY NGALA

MBUNGE WA ENEO LA KASIPUL KAUNTI YA HOMA BAY ONG’ONDO WERE AAGA DUNIA BAADA YA KUPIGWA RISASI.

Wizara ya usalama nchini imewahakikishia wakenya kuwa itafanikisha uchunguzi dhidi ya kifo cha mbunge wa Kasipul, kaunti ya Homa Baya Charles Ong’ondo Were. Bunge Ong’ondo Were aliaga dunia jana saa moja unusu usiku, baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana, wakiwa juu ya pikipiki, katika mzunguko uliokaribu na makafani ya City Motuary kaunti ya Nairobi, […]

MBUNGE WA ENEO LA KASIPUL KAUNTI YA HOMA BAY ONG’ONDO WERE AAGA DUNIA BAADA YA KUPIGWA RISASI. Read More »

KAMATI YA MISWADA KATIKA BUNGE LA SENETI YAFANYA KIKAO NA WAWAKILISHI WADI KWENYE BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI.

Kamati ya sheria andalizi ikiongonzwa na mwenyekiti wake ambaye ni  seneta wa Tharaka Nithi Sen. Mwenda Gataya, imepongeza bunge la kaunti ya Kilifi kwa kufuata sheriza muhumu za utoazaji kodi wananchi wa kaunti ya kilifi. Akizungumza baada ya kufanya kikao na wawakilishi wadi kwenye bunge hilo, mwenyekiti huyo amesisitiza haja ya hamasa zaidi kwa viongozi

KAMATI YA MISWADA KATIKA BUNGE LA SENETI YAFANYA KIKAO NA WAWAKILISHI WADI KWENYE BUNGE LA KAUNTI YA KILIFI. Read More »

VIONGOZI WA KISIASA KAUNTI YA MERU WATAKIWA KUDUMISHA UMOJA.

Viongozi wa kaunti ya Meru wamesisitizwa kudumisha umoja kati yao na kuhakikisha kuwa jamii za eneo hilo zinaishi kwa amani. Ni wito ambao umetolewa na rais William Ruto, katika kikao na viongozi wa kisiasa eneo hilo, ambapo amewasisitiza kusaidiana katika kuwaleta wananchi wa eneo hilo pamoja. Rais Ruto amesema kuwa hatua yao, kudumisha umoja itawasaidia

VIONGOZI WA KISIASA KAUNTI YA MERU WATAKIWA KUDUMISHA UMOJA. Read More »