HENRY ANAIMANI NA KIKOSI CHAKE
Kocha wa kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa kwenye Olimpiki Thierry Henry anasema ana matumaini makubwa vijana wa Ufaransa wataibuka mabingwa kwenye mashindano hayo mwaka huu. Ameyasema hayo kipindi ambacho Ufaransa inasubiri kucheza fainali jioni ya leo dhidi ya Uhispania. Amesema kuwa wenyeji wa mashindano ya Olimpiki mwaka huu kumewasaidia pakubwa kuleta ushindani mkali […]
HENRY ANAIMANI NA KIKOSI CHAKE Read More »



