Paps Mkare

MURKOMEN ASHAURIWA

Mwaniaji wa kiti cha urais wa Shirikisho la Soka la Kenya Tom Alila ametoa wito kwa Waziri mpya wa Michezo Kipchumba Murkomen kutimiza ahadi yake ya kuboresha mashirikisho ya michezo nchini. Hayo yanajiri baada ya Murkomen ambaye alikuwa Seneta wa Elgeyo Marakwet kuapishwa leo asubuhi, akimrithi Ababu Namwamba aliyetimuliwa mwezi uliopita. Alila anahisi mengi yanaweza […]

MURKOMEN ASHAURIWA Read More »