SHABANA YAPATA AFUENI FKF
Ni afueni kwa klabu ya Shabana FC inayoshiriki katika ligi ya fkf premier league hapa nchini Kenya baada ya kufanikiwa kusaidi dili la udhamini na kampuni ya sportpesa. Shabana Fc ukipenda Tore Bobe imesaini dili la udhamini wa milioni 75 ambao utagawanya katika awamu tatu sawa na milioni 25 kila msimu. Haya yanajiri baada ya […]
SHABANA YAPATA AFUENI FKF Read More »



