TETESI ZA UHAMISHO ULAYA, JUMANNE
Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa shabaha yao nambari moja katika dirisha la usajili majira haya ya kiangazi. Mashetani Hao wekundu wamemnasa Manuel Urgate kutoka Paris S Germain. Dau la Euro million 60 limehusika kwenye uhamisho huo, na mchezaji huyo raia wa Uruguay anatarajiwa kusafiri hii leo hadi jiji la Manchester kufanyiwa vipimo vya […]
TETESI ZA UHAMISHO ULAYA, JUMANNE Read More »



