TIMOTHY BABU AJIUNGA NA SLAVIA PRAGUE
Kiungo wa Harambee Stars Timothy Babu Ouma amekamilisha uhamisho wa kipekee kuelekea klabu ya jamhuri ya Czech Slavia Prague, hii ni baada ya Kuachana na upande wa Uswizi IF Elfsborg, kwa dili ya aina yake ya takriban milioni mia nne sabini na tatu pesa Taslim Ya Kenya. Mzawa Huyo Wa kariobangi ambaye amewahi kukipiga na […]
TIMOTHY BABU AJIUNGA NA SLAVIA PRAGUE Read More »



