SHABANA NA MURANG’A SEAL ZAREJEA KPL
Klabu ya Shabana sasa imepanda daraja kutoka ligi ya National Super League hadi ligi kuu ya fkf nchini baada ya kusajili ushindi wa bao 1-0 jana dhidi ya klabu ya Migori Youth. Klabu ya Shabana imekuwa nje ya ligi kuu ya fkf kwa kipindi cha miaka 17 na msimu huu wanalenga kupanda kwa kishindo kwani […]
SHABANA NA MURANG’A SEAL ZAREJEA KPL Read More »



