Paps Mkare

WADAU WA ELIMU WAHIMIZA MAKUZI YA TALANTA CHANGA

Naibu katibu mkuu wa Kuppet katika kaunti ya Kilifi  bwana Oppolo K’opollo amewahimiza wazazi kusaidia wanao kukuza talanta katika umri mchanga. Oppolo amesema kwamba katika cha michezo ya shule za msingi lakini pia za upili ndio kipindi ambacho talanta za vijana hugunduliwa na kuna urahisi wa mchezaji kuanza kujenga kipaji chake. Katibu huyo amewashauri wazazi

WADAU WA ELIMU WAHIMIZA MAKUZI YA TALANTA CHANGA Read More »

NKUNKU ASAJILIWA NA CHELSEA, MANCHESTER UNITED NA PSG ZIKIMWINDA HARRY KANE

Klabu ya Chelsea hii leo imethibitisha kuwa Christopher Nkunku atakuwa mchezaji wao pale darajani Stanford Brigde baada ya kukamilisha usajili wake kutoka klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani. Nkunku ametia saini mkataba wa miaka sita baada ya makubaliano ya uhamisho wa pauni milioni 52. Nkunku ameifungia mabao 16 waajiri wake wa zamani RB Leipzig pamoja

NKUNKU ASAJILIWA NA CHELSEA, MANCHESTER UNITED NA PSG ZIKIMWINDA HARRY KANE Read More »