UHAMISHO; GUNDOGAN YWAELEKEA CAMP NOU, KIM AKIAHIRISHA UHAMISHO NA KUINGIA JESHINI KWANZA
Klabu ya Barcelona ambao ni mabingwa wa Laliga kule uhispania wamekubaliana na Ikkay Gundogan ambaye ni nahodha wa klabu ya manchester city walioshinda kombe la mabingwa ulaya pamoja na ligi kuu nchini Uingereza. Gundogan alikuwa amepewa ofa ya kuongeza uwepo wake katika dimba la Etihad lakini ameamua kuihama kambi hiyo na kujiunga na kambi ya […]



