Paps Mkare

GOR MAHIA NDIO MABINGWA WA LIGI YA FKF, OMALA AKISHINDA KIATU CHA DHAHABU

  Klabu ya Gor Mahia ndio mabingwa wa ligi kuu ya fkf hapa nchini Kenya baada ya jana katika mtanangwe wa mwisho kusajili ushindim wa mabao 4-1 dhidi ya klabu ya Nairobi City Stars katika uwanja wa Moi Kasarani, jijini Nairobi. Kogalo walinyakua ubingwa wao wa 20 kwa utofauti wa alama moja dhidi ya Tusker […]

GOR MAHIA NDIO MABINGWA WA LIGI YA FKF, OMALA AKISHINDA KIATU CHA DHAHABU Read More »