BILA CAF B SAHAU FKF PRIMIA – NICK MWENDWA
Shirikisho la soka nchini Kenya limetangaza kwamba kuelekea msimu ujao makocha wote wanaoongoza timu za ligi kuu ya fkf watafaa kuwa na vyeti vya ukocha katika kiwango cha Caf B. Nick Mwendwa ambaye ni rais wa shirikisho la fkf ameyasema hayo kipindi ambacho sasa kuna mafunzo ya ukocha yanaendelea kote nchini ili kuona kwamba soka […]
BILA CAF B SAHAU FKF PRIMIA – NICK MWENDWA Read More »



