MICHEZO KUIMARIKA MAGARINI
Huenda michezo katika eneo bunge la Magarini ikaimarika hata zaidi baada ya mbunge wa eneo hilo Harry Kombe kufanya kikao hii leo na wadau wa michezo mbalimbali katika eneo hilo kujadili masuala ya michezo ambayo yanahusu vilabu vya mashinani. Harry Kombe ameahidi kusaidia wachezaji na mabasi ya usafiri katika mechi za mbali na karibu ili […]
MICHEZO KUIMARIKA MAGARINI Read More »



