Paps Mkare

NAMTAYARISHIA MANDONGA NGUMI YA KIKENYA – DANIEL WANYONYI

Bondia wa Kenya Daniel wanyonyi  amemuonya mpinzani wake karim mandonga  bondia kutoka Tanzania kwamba anamnyamazisha mdomo wake kabisa pindi wakikutana ulingoni katika pigano la marudinao jumamosi ijayo.  Mwezi machi mwaka huu katika pigano la kwanza Mandonga alipata ushindi dhidi ya Wanyonyi lakini safari hii mwenyeji amekataa katakata kupoteza mechi katika ardhi ya nyumbani.  Wanyonyi amesema

NAMTAYARISHIA MANDONGA NGUMI YA KIKENYA – DANIEL WANYONYI Read More »

LUBUMBASHY FC ITAPANDA DARAJA MSIMU UJAO – JASPER KAZUNGU

Klabu ya Lubumbasy FC inatapanda kutoka ligi ya kaunti hadi ligi ya mkoa msimu ujao baada ya kampeni ya mwaka huu kumalizika. Hiyo ni kulingana na nahodha wa klabu hiyo Jasper Kazungu anasema kwamba baada yakutamatika kwa mzunguko wa kwanza wa msimu huu sasa wanapiga tizi za ziada ili kujiimarisha kipindi hiki cha likizo. Amesema

LUBUMBASHY FC ITAPANDA DARAJA MSIMU UJAO – JASPER KAZUNGU Read More »