Paps Mkare

TUTASHIRIKI KLABU BINGWA AFRIKA, TUNASTAHILI – RACHIER

Mwenyekiti wa klabu ya Gor Mahia Ambrose Rachier anasema kwamba ako na imani shirikisho la soka barani afrika Caf litabatilisha uamuzi wake wa kuitoa klabu hiyo katika mashindano ya klabu bingwa barani Afrika pamoja na kuitaka fkf kuinyanganya leseni ya ushirika wa fifa klabu hiyo. Kogalo  wamejipata pabaya kutokana na kuchelewa kulipa wachezaji wake wa […]

TUTASHIRIKI KLABU BINGWA AFRIKA, TUNASTAHILI – RACHIER Read More »

GOR MAHIA YAPATA PIGO

Shirikisho la soka barani Afrika CAF  limeamuru shirikisho la soka hapa nchini FKF linaloongozwa na rais Nick Mwendwa kuwapokonya kibali cha ushirika wa fkf klabu ya Gor Mahia ambao ni mabingwa wa ligi kuu yan fkf hapa nchini msimu uliotamatika majuma machache yaliyopita. Kulingana na taarifa iliyotujia hivi punde ni kwamba klabu ya Gor Mahia

GOR MAHIA YAPATA PIGO Read More »

WANYONYI ATOA WITO KWA SERIKALI KUHUSU NDONDI

Daniel Wanyonyi ambaye ni bondia wa Kenya anayesubiri kuvaana na mpinzani wake Karim Mandonga wikendi ijayo ametoa wito kwa serikali kuwa na usawa katika kukuza vipaji. Amesema kwamba mchezo wa ndondi nchini umebezwa sana na serilali kiasi kwamba mabondia wanajihisi kutengwa. Ameshauri wadhamini kuingilia kati suala hilo ili kusaidia mchezo huo kupata hamasa hata zaidi

WANYONYI ATOA WITO KWA SERIKALI KUHUSU NDONDI Read More »