MICHEZO YA KUMNADI YESU KRISTO KUFANYIKA MAGARINI
Harrison Fondo ambaye ni mwenyekiti wa zamani katika shirikisho la soka tawi la eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi ambaye sasa ni kiongozi wa vijana katika kanisa la Baptist eneo bunge la Magarini amesema kwamba kanisa hilo kwa ushirikiano na wainjilisti wa KuzaApp wanalenga kuanzisha mashindano ya michezo mbalimbali kipindi hiki cha likizo ili […]
MICHEZO YA KUMNADI YESU KRISTO KUFANYIKA MAGARINI Read More »
