Paps Mkare

COASTAL HEROES YAFANYA MAJARIBIO YA WACHEZAJI

Klabu inayoshiriki ligi ya National Super League kutoka ukanda wa pwani Coastal Heroes inajiandaa kufanya majaribio ya wachezaji kama njia moja ya kutafuta talanta za kukiongezea nguvu kikosi hicho kuelekea msimu ujao. Coastal Heroes yenye makazi yake katika kaunti ya Mombasa inaanza majaribio hayo hii leo kuanzia mwendo wa saa mbili katika uwanja wa Ronald […]

COASTAL HEROES YAFANYA MAJARIBIO YA WACHEZAJI Read More »

SAIDIA BEACH BAY, WACHANA NA MKOMBOZI, MKUFUNZI AMSHAURI HARRY KOMBE

Mkufunzi wa zamani wa klabu ya Pwani Fc Emmanuel Kazungu ambaye sasa ni katibu mkuu wa fkf katika eneo bunge la Magarini amependekeza viongozi wa eneo hilo kupiga jeki vilabu ambavyo viko katika ngazi za juu kisoka kuzidi kuwakilisha eneo Magarini kuliko kuunda timu mpya ambazo hazijasajiliwa katika ligi yoyote. Akizungumza na Tama la Spoti

SAIDIA BEACH BAY, WACHANA NA MKOMBOZI, MKUFUNZI AMSHAURI HARRY KOMBE Read More »