KOCHA WA TAIFA STARS AFUNGIWA NA CAF
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limempa adhabu ya kumfungia mechi nane aliyekuwa mkufunzi wa timu ya taifa ya soka Tanzania Taifa Stars mwite Adel Amrouche kutokana na matamshi yake ya kupeana taarifa za uongo wiki jana kabla ya mechi dhidi ya timu ya taifa ya Morocco. Mkufunzi Adel alikuwa amesema kwamba shrikisho la soka […]
KOCHA WA TAIFA STARS AFUNGIWA NA CAF Read More »



