UKATA WA FEDHA NI JANGA KWA YANGA!
klabu ambayo inashiriki katika ligi ya daraja la pili mwite Collins Omol amethibitisha kuwa ukosefu wa fedha ndio jambo lilopelekea klabu hiyo kukosa kuheshimu ratiba yao wikendi ilopita dhidi ya klabu ya Sparki Youth. Kulingana na Collins ni kuwa hadi kufikia sasa klabu hiyo imekosa ufadhili jambo ambalo linazidi kuilemaza. Mkufunzi huyo ametuma wito kwa […]
UKATA WA FEDHA NI JANGA KWA YANGA! Read More »



