KAUNTI YA KILIFI KUPOKONYWA ALAMA!
Taarifa za hivi punde ni kuwa huenda kaunti ya Kilifi ikapokonywa alama tatu za ushindi wao wa jana wa mabao 2-0 dhidi ya kaunti ya Nakuru kwa kumshirikisha Feisal Dzuya kwenye michezo ya kitaifa ya KYISA. Taarifa zasema kuwa maamuzi hayo huenda yakafanyika kwa mujibu wa sheria za KYISA kukiukwa kwa mantiki ya kuwa Dzuya […]
KAUNTI YA KILIFI KUPOKONYWA ALAMA! Read More »



