VOLIBOLI IJE MASHINANI, VIJANA WANARAI
Nahodha wa kikosi cha KYISA cha kaunti ya Kilifi kwenye mchezo wa voliboli Kombe Omar anasema ipo haja ya viongozi wa serikali lakini pia jamii kwa jumla kuanza kukumbatia michezo mingine kwa mfano huo wa Volibali tofauti na mchezo uliozoeleka wa soka katika kaunti hii. Amesema mchezo wa voliboli umemletea manufaa mengi kama kijana akihoji […]
VOLIBOLI IJE MASHINANI, VIJANA WANARAI Read More »



