Janet Mumbi

LALAMA ZAIBULIWA KAUNTI YA KWALE KUHUSU UTEUZI WA WAWAKILISHI WA WADI

Baadhi ya wanachama wa PAA, UDA na ODM kaunti ya Kwale wanalalamikia uteuzi wa wawakilishi wa wadi katika bunge la kaunti hiyo wakisema nafasi hizo za uteuzi zimetolewa pasi na kuzingatia uwakilishi wa watu wenye uwezo maalum na wale wanaotoka katika jamiii ndogo. Wanachama wa ODM, wamesisitiza kuwa nafasi za uteuzi zilipeanwa kwa watu ambao […]

LALAMA ZAIBULIWA KAUNTI YA KWALE KUHUSU UTEUZI WA WAWAKILISHI WA WADI Read More »

MAAFISA WA POLISI TAITA TAVETA WAANZA KUPEWA USHAURI NASAHA

Maafisa wa polisi kaunti ya Taita Taveta wameanzishiwa zoezi la kupewa ushauri nasaha kutokana na visa vya msongo wa mawazo vinavyosababisha baadhi yao kujitoa uhai. Idara ya usalama kaunti hiyo kwa ushirikiano na serikali ya kaunti hiyo ya Taita Taveta wanaendeleza mpango huo wa kuwashuri maafisa wa usalama. Kulingana na afisa mkuu wa polisi eneo

MAAFISA WA POLISI TAITA TAVETA WAANZA KUPEWA USHAURI NASAHA Read More »

MALKIA STRIKERS WACHAPWA KWENYE MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA RED STARS

Timu ya taifa ya mpira wa wavu  Malkia strikers ambao wako nchini Serbia kwa sasa wanaposubiri kuekea nchini Uholanzi kwa mashindano ya kombe la dunia, wamepoteza mechi yao ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Serbia  Red Stars kwa seti tatu bila jawabu. Kenya imeratibiwa kuvaana na timu ya taifa ya Uholanzi kwenye mechi

MALKIA STRIKERS WACHAPWA KWENYE MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YA RED STARS Read More »