PAMZO OMOLLO ASEMA POLICE FC IKO IMARA KWA MSIMU MPYA
Mkufunzi wa klabu ya Kenya Police Pamzo Omollo amesema kwamba anaimani vijana wake watafanya vyema katika msimu mpya wa mwaka 2022/2023. Hii ni baada ya kuwa na kipindi kizuri cha maandalizi ya msimu kwani mpaka kufikia sasa wameshinda mechi sita kati ya saba za kirafiki mbali na kupoteza mechi moja dhidi ya Bidco United wikendi […]
PAMZO OMOLLO ASEMA POLICE FC IKO IMARA KWA MSIMU MPYA Read More »



