SADIO MANE ASHINDA TUZO YA KIHISTORIA UFARANSA
Sadio mane mchezaji wa zamani wa klabu ya Liverpool ambaye sasa hivi anachezea Bayern Munich ameweka historia ya kuwa mchezaji wa kwanza wa kiafrika kushinda tuzo ya Socrates Award tuzo inayopewa mchezaji ambaye ameonyesha utu katika jamii. Mane ambaye alimaliza katika nafasi ya pili kwenye orodha ya tuzo za Ballon D’Or hapo jana nyuma ya […]
SADIO MANE ASHINDA TUZO YA KIHISTORIA UFARANSA Read More »



